1 Chronicles 12:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Isakari: Wakuu 200 pamoja na ndugu zao wote waliokuwa chini ya amri yao. Wakuu hao walikuwa na elimu ya kujua mambo ya nyakati na walijua kilichowapasa Waisraeli kufanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi mia mbili, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Isakari: wakuu 200 pamoja na ndugu zao wote waliokuwa chini ya amri yao. Wakuu hao walikuwa na elimu ya kujua mambo ya nyakati na walijua kilichowapasa Waisraeli kufanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Isakari: Wakuu 200 pamoja na ndugu zao wote waliokuwa chini ya amri yao. Wakuu hao walikuwa na elimu ya kujua mambo ya nyakati na walijua kilichowapasa Waisraeli kufanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isakari waliojua kuitambua maana ya siku walijua nayo yaliyowapasa Waisiraeli kufanya, kwa hiyo wakaja wakuu wao 200 nao ndugu zao wote kwa kuagizwa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende; vichwa vyao walikuwa watu mia mbili na ndugu zao wote walikuwa chini ya amri yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka nusu ya kabila la Manase: watu elfu kumi na nane, waliotajwa majina kwa kuja kumuweka Daudi kuwa mufalme.