1 Chronicles 12:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Naftali: Makamanda 1,000 pamoja na watu 37,000 wenye ngao na mikuki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Naftali, maafisa elfu moja, pamoja na watu elfu thelathini na saba wenye ngao na mikuki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa Naftali, maakida elfu, na pamoja nao watu wenye ngao na mkuki thelathini na saba elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Naftali: makamanda 1,000 pamoja na watu 37,000 wenye ngao na mikuki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Naftali, maafisa 1,000, pamoja na watu 37,000 waliochukua ngao na mikuki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Naftali, maafisa 1,000, pamoja na watu 37,000 waliochukua ngao na mikuki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa Naftali, makamanda elfu moja, na pamoja nao watu wenye ngao na mkuki elfu thelathini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Naftali: Makamanda 1,000 pamoja na watu 37,000 wenye ngao na mikuki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa Nafutali wakatoka wakuu 1000, tena pamoja nao watu 37000 wenye ngao na mikuki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa Naftali, maakida elfu, na pamoja nao watu wenye ngao na mkuki thelathini na saba elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Zebuluni: watu elfu makumi tano; waaminifu na wanaoelewa wa vita. Wakajitayarisha na silaha za vita za kila namna, shabaha yao ilikuwa ni kumusaidia Daudi tu.