1 Chronicles 12:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Dani: Watu 28,600 wenye silaha tayari kwa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Dani, elfu ishirini na nane na mia sita waliokuwa wamejiandaa kwa vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa Wadani, watu hodari wa kupanga vita, ishirini na nane elfu na mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Dani: watu 28,600 wenye silaha tayari kwa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Dani 28,600 waliokuwa tayari kwa vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa Wadani, watu hodari wa kupanga vita, elfu ishirini na nane na mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Dani: Watu 28,600 wenye silaha tayari kwa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa Dani wakatoka waliokuwa tayari kupiga vita, watu 28600.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa Wadani, watu hodari wa kupanga vita, ishirini na nane elfu na mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Nafutali: majemadari elfu moja pamoja na watu elfu makumi tatu na saba wenye ngao na mikuki.