1 Chronicles 12:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Asheri: Watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Asheri, wapiganaji hodari elfu arobaini waliokuwa wameandaliwa kwa vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa Asheri, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, arobaini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Asheri: watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Asheri, askari 40,000 wenye uzoefu mkubwa waliondaliwa kwa ajili ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa Asheri, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, elfu arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Asheri: Watu 40,000 wazoefu wa vita, tayari kwa mapigano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa Aseri watu wakatoka vikosi vizima kwa kuwa tayari kupiga vita, watu 40000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa Asheri, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, arobaini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Dani: watu elfu makumi mbili na nane mia sita wenye silaha tayari kwa vita.