1 Chronicles 12:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ngambo ya mto Yordani: Watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na pia watu kutoka mashariki mwa Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, walikuwa elfu mia moja na ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, ng'ambo ya pili ya Yordani, wa Wareubeni, na wa Wagadi, na wa nusu kabila ya Manase, wenye zana za vita za kupigania za kila namna, mia na ishirini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ng'ambo ya mto Yordani: watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na pia watu kutoka mashariki ya Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, watu 120,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na pia watu kutoka mashariki ya Yordani, watu wa Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakiwa na kila aina ya silaha, watu 120,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, ng'ambo ya pili ya Yordani, wa Wareubeni, na wa Wagadi, na wa nusu kabila la Manase, wenye zana za vita za kupigania za kila namna, elfu mia moja na ishirini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ngambo ya mto Yordani: Watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ambo ya Yordani kwa Rubeni na kwa Gadi na katika nusu ya shina la Manase vikatoka vikosi vyenye vyombo vyote vya vitani, watu 120000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, ng’ambo ya pili ya Yordani, wa Wareubeni, na wa Wagadi, na wa nusu kabila ya Manase, wenye zana za vita za kupigania za kila namna, mia na ishirini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Aseri: watu elfu makumi ine wenye kuelewa vita, tayari kwa mapigano.