1 Chronicles 12:4 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, aliyekuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi Mgederathi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na Ishimaia, Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, ambaye alikuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi, Mgederathi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa miongoni mwa wale Thelathini, ambaye alikuwa kiongozi wa wale Thelathini; Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi, Mgederathi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishmaya kutoka Gibeoni, mtu shujaa miongoni mwa wale thelathini na kiongozi wao pia pamoja na Yeremia, Yahazieli, Yohanani, Yozabadi kutoka Gedera,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Isimaya wa Gibeoni, ni mmoja wao wale mafundi wa vita thelathini, tena ni mkuu wao hao thelathini, na Yeremia na Yahazieli na Yohana na Yozabadi wa Gedera,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;