1 Chronicles 12:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliyabu wa tatu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ezeri alikuwa mkuu wao, Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiongozi wao mkuu alikuwa Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu Ezeri, wa pili Obadia, wa tatu Eliabu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ezeri mkubwa wao, Obadia wa pili, Eliabu wa tatu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kabila la Gadi, hawa ndio waaskari mashujaa na walioelewa sana vita. Wakatoka kwao kwenda kujiunga na kundi la Daudi alipokuwa katika maficho kule katika jangwa. Walikuwa hodari wa kutumia mikuki na ngao, wenye nyuso za kuogopesha kama za simba, na katika milima walikuwa wepesi wa kukimbia kama swala. Kiongozi wao mukubwa alikuwa Ezeri. Alifuatwa na: Obadia, Eliabu, Misimana, Yeremia, Atai, Elieli, Yohana, Elisabadi, Yeremia, Makibanai.