1 Chronicles 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alishauriana na makamanda wa vikosi vya maelfu na vikosi vya mamia, pamoja na viongozi wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alishauriana na kila kiongozi wake, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Daudi akafanya shauri na maakida wa maelfu, na maakida wa mamia, naam, na kila kiongozi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alishauriana na makamanda wa vikosi vya maelfu na vikosi vya mamia, pamoja na viongozi wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alishauriana na kila afisa wake, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alishauriana na kila afisa wake, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Daudi akafanya shauri na makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia, naam, na kila kiongozi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alishauriana na makamanda wa vikosi vya maelfu na vikosi vya mamia, pamoja na viongozi wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akafanya shauri nao wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na watawalaji wote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Daudi akafanya shauri na maakida wa maelfu, na maakida wa mamia, naam, na kila kiongozi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akashauriana na majemadari wa makundi ya maelfu na makundi ya mamia, pamoja na viongozi wote.