1 Chronicles 13:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya Mwenyezi Mungu ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akaona uchungu, kwa kuwa Bwana amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya BWANA iliwaka dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya bwana ilifurika dhidi ya Uza, mahali pale pakaitwa Peres-Uza hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akaona uchungu, kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alikasirika kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimuua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, mahali hapo huitwa Peres-uza hadi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Dawidi akaingiwa na uchungu, ya kuwa Bwana amempiga Uza pigo kama hilo, wakapaita mahali pale Peresi-Uza (Pigo la Uza) mpaka siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akaona uchungu, kwa kuwa BWANA amemfurikia Uza; akapaita mahali pale Peres-uza hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akakasirika kwa sababu Yawe alimwua Uza akiwa na hasira. Kwa sababu hiyo, pahali pale panaitwa Pigo la Uza mpaka leo.