1 Chronicles 13:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanduku la Mungu likakaa kwa jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani mwake kwa miezi mitatu, naye Mwenyezi Mungu akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sanduku la Mungu likakaa na jamaa ya Obed-edomu, nyumbani mwake, muda wa miezi mitatu; naye Bwana akaibariki nyumba ya Obed-edomu, na yote aliyokuwa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanduku la Mungu likabaki pamoja na jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani kwake, kwa miezi mitatu, naye BWANA akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanduku la Mungu likabaki pamoja na jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani kwake kwa miezi mitatu, naye bwana akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sanduku la Mungu likakaa na jamaa ya Obed-edomu, nyumbani mwake, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akaibariki nyumba ya Obed-edomu, na yote aliyokuwa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sanduku hilo la Mungu lilikaa huko kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Mwenyezi-Mungu akaibariki nyumba ya Obed-edomu na mali yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo nyumbani mwa Obedi-Edomu Sanduku la Mungu likakaa kwenye mlango wake miezi mitatu, naye Bwana akaubariki mlango wa Obedi-Edomu nayo yote yaliyokuwa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sanduku la Mungu likakaa na jamaa ya Obed-edomu, nyumbani mwake, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akaibariki nyumba ya Obed-edomu, na yote aliyokuwa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanduku lile la Mungu lilikaa kule kwa Obedi-Edomu kwa muda wa miezi mitatu, naye Yawe akabariki nyumba ya Obedi-Edomu na mali yake yote.