1 Chronicles 13:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kusanyiko lote wakakubaliana kufanya hivyo, kwa sababu ilionekana vyema kwa watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kusanyiko lote likakubaliana kufanya hivyo, kwa sababu ilionekana vyema kwa watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kusanyiko lote likakubaliana kufanya hivyo, kwa sababu ilionekana vyema kwa watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote walikubaliana na pendekezo hilo kwani waliliona kuwa jambo jema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote wa huo mkutano wakaitikia, wafanye hivyo, kwa kuwa neno hilo lilikuwa limenyoka machoni pao watu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao jamii nzima wakasema ya kwamba watafanya hivyo; kwa kuwa neno hilo lilikuwa jema machoni pa watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote wakakubaliana na pendekezo lile maana waliliona kuwa jambo jema.