1 Chronicles 13:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakalichukua sanduku la Mungu kutoka katika nyumba ya Abinadabu kwa gari jipya. Uza na Ahio waliliendesha gari hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakalisafirisha Sanduku la Mungu kwa gari jipya la kukokotwa kutoka nyumba ya Abinadabu; nao Uza na Ahio waliliongoza gari hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalipandisha sanduku la Mungu juu ya gari jipya kutoka nyumba ya Abinadabu; na Uza na Ahio wakaliendesha lile gari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakalichukua sanduku la Mungu kutoka katika nyumba ya Abinadabu kwa gari jipya. Uza na Ahio waliliendesha gari hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakalisafirisha Sanduku la Mungu kwa gari jipya lenye magurudumu mawili likikokotwa na maksai kutoka katika nyumba ya Abinadabu, Uza na Ahio wakiliongoza gari hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakalisafirisha Sanduku la Mungu kwa gari jipya la kukokotwa na maksai kutoka nyumba ya Abinadabu, Uza na Ahio wakiliongoza gari hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalipandisha sanduku la Mungu juu ya gari jipya kutoka nyumba ya Abinadabu; na Uza na Ahio wakaliendesha lile gari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakalichukua sanduku la Mungu kutoka katika nyumba ya Abinadabu kwa gari jipya. Uza na Ahio waliliendesha gari hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakalipandisha Sanduku la Mungu katika gari jipya wakilitoa katika nyumba ya Abinadabu, nao Uza na Ayo wakaliendesha hilo gari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalipandisha sanduku la Mungu juu ya gari jipya kutoka nyumba ya Abinadabu; na Uza na Ahio wakaliendesha lile gari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakalitwaa Sanduku la Agano kutoka katika nyumba ya Abinadabu wakilibeba juu ya gari jipya. Uza na Ahio wakaongoza gari lile.