1 Chronicles 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza aliunyosha mkono wake kulishikilia sanduku la agano kwa sababu ng'ombe walijikwaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza akaunyoosha mkono wake ili kulizuia Sanduku, kwa sababu maksai walijikwaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipofika penye uga wa Nakoni, Uza akaunyosha mkono wake alishike sanduku; kwa maana wale ng'ombe walikunguwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza aliunyosha mkono wake kulishikilia sanduku la agano kwa sababu ng'ombe walijikwaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza akaunyosha mkono wake ili kulizuia Sanduku, kwa sababu hao maksai walijikwaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza akaunyoosha mkono wake ili kulizuia Sanduku, kwa sababu maksai walijikwaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata walipofika penye uga wa Nakoni, Uza akaunyosha mkono wake alishike sanduku; kwa maana wale ng'ombe walijikwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Kidoni, Uza aliunyosha mkono wake kulishikilia sanduku la agano kwa sababu ng'ombe walijikwaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika pa kupuria pake Kidoni, Uza akapeleka mkono, alishike Sanduku, kwa kuwa ng'ombe walijikwaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipofika penye uga wa Nakoni, Uza akaunyosha mkono wake alishike sanduku; kwa maana wale ng’ombe walikunguwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika kwenye uwanja wa kupepetea ngano wa Kidoni, Uza akaunyoosha mukono wake kwa kuzuia Sanduku la Agano kwa sababu ngombe walijikwaa.