1 Chronicles 14:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti walikuwa wametupa miungu yao huko, naye Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaiacha miungu yao huko; naye Daudi akaamuru, ikateketezwa kwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti walikuwa wameacha miungu yao huko, Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti walikuwa wameacha miungu yao huko, Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaiacha miungu yao huko; naye Daudi akaamuru, ikateketezwa kwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walipokimbia, waliziacha sanamu za miungu yao huko, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa wale waliiacha huko miungu yao, Dawidi akaagiza iteketezwe kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaiacha miungu yao huko; naye Daudi akaamuru, ikateketezwa kwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walipokimbia, waliacha sanamu za miungu yao kule, naye Daudi akatoa amri zote zichomwe kwa moto.