1 Chronicles 14:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mara nyingine Wafilisti wakavamia lile bonde;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao Wafilisti wakateka nyara tena mara ya pili bondeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mara nyingine tena Wafilisti wakavamia lile bonde,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mara nyingine Wafilisti wakavamia lile bonde;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao Wafilisti wakajitawanya tena mara ya pili bondeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Wafilisti walifanya mashambulizi katika bonde hilo kwa mara ya pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wafilisti wakapanda tena na kujieneza bondeni kulekuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao Wafilisti wakateka nyara tena mara ya pili bondeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Wafilistini wakafanya mashambulizi katika bonde lile kwa mara ya pili.