1 Chronicles 14:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na mara utakaposikia vishindo vya gwaride kwenye vilele vya hiyo miforosadi, haya, toka uende vitani. Nitakuwa nimekwisha kukutangulia kulipiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara utakaposikia sauti ya kutembea vileleni vya miti ya miforosadi, basi utoke upigane vita, kwa sababu hiyo itaonesha kwamba Mungu amekutangulia ili kupiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha itakuwa utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo utakapokwenda nje vitani; kwa maana ndipo Mungu ametoka mbele yako, awapige jeshi la Wafilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na mara utakaposikia vishindo vya gwaride kwenye vilele vya hiyo miforosadi, haya, toka uende vitani. Nitakuwa nimekwisha kukutangulia kulipiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara usikiapo sauti ya kwenda juu ya hiyo miti ya miforosadi, hapo ndipo utoke upigane vita, kwa sababu hiyo itaonyesha kwamba Mungu amekutangulia ili kupiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara usikiapo sauti ya kwenda juu ya hiyo miti ya miforosadi, hapo ndipo utoke upigane vita, kwa sababu hiyo itaonyesha kwamba Mungu amekutangulia ili kupiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha itakuwa utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo utakapokwenda nje vitani; kwa maana ndipo Mungu ametoka mbele yako, awapige jeshi la Wafilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na mara utakaposikia vishindo vya gwaride kwenye vilele vya hiyo miforosadi, haya, toka uende vitani. Nitakuwa nimekwisha kukutangulia kulipiga jeshi la Wafilisti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, utakaposikia vileleni kwa misandarusi shindo kama ya watu wapitao, basi, hapo watokee kupigana nao! Kwani ndipo, Mungu atakapotokea, akutangulie kuyapiga majeshi ya Wafilisti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha itakuwa utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo utakapokwenda nje vitani; kwa maana ndipo Mungu ametoka mbele yako, awapige jeshi la Wafilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mara moja utakaposikia vishindo vya miguu kwenye vilele vya ile miforosadi, halafu, toka uende katika vita. Nitakuwa nimekwisha kukutangulia kuwapiga waaskari wa Wafilistini.”