1 Chronicles 14:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mungu. Alilipiga jeshi la Wafilisti kutoka Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Daudi akafanya kama alivyoagizwa na Mungu, wakalipiga jeshi la Wafilisti kuanzia Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akafanya kama vile Mungu alivyomwamuru; wakawapiga jeshi la Wafilisti toka Geba mpaka Gezeri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mungu. Alilipiga jeshi la Wafilisti kutoka Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Daudi akafanya sawasawa na alivyoagizwa na Mungu, wakalipiga jeshi la Wafilisti kuanzia Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Daudi akafanya kama alivyoagizwa na Mungu, wakalipiga jeshi la Wafilisti kuanzia Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akafanya kama vile Mungu alivyomwamuru; wakawapiga jeshi la Wafilisti toka Geba mpaka Gezeri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mungu. Alilipiga jeshi la Wafilisti kutoka Gibeoni hadi Gezeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akafanya, kama Mungu alivyomwagiza, wakayapiga majeshi ya Wafilisti toka Gibeoni hata Gezeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akafanya kama vile Mungu alivyomwamuru; wakawapiga jeshi la Wafilisti toka Geba mpaka Gezeri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akafanya kama vile alivyoamuriwa na Mungu. Akawapiga waaskari wa Wafilistini kutokea Gibeoni mpaka Gezeri.