1 Chronicles 14:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo umaarufu wa Daudi ukaenea katika kila nchi, naye Mwenyezi Mungu akayafanya mataifa yote kumwogopa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sifa za Daudi zikafika nchi zote; naye Bwana akawaletea mataifa yote hofu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo umaarufu wa Daudi ukaenea katika kila nchi, naye BWANA akayafanya mataifa yote kumwogopa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo umaarufu wa Daudi ukaenea katika kila nchi, naye bwana akayafanya mataifa yote kumwogopa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sifa za Daudi zikafika nchi zote; naye BWANA akawaletea mataifa yote hofu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akawa maarufu kote nchini, naye Mwenyezi-Mungu akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina lake Dawidi likaenea katika nchi zote, Bwana akawatia wamizimu wote woga wa kumwogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sifa za Daudi zikafika nchi zote; naye BWANA akawaletea mataifa yote hofu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akakuwa na sifa popote katika inchi, naye Yawe akayatia hofu mataifa yote, nayo yakamwogopa sana.