1 Chronicles 14:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko Yerusalemu, Daudi alioa wake wengi zaidi, naye akazaa wana na mabinti wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Yerusalemu Daudi akaoa wake wengine zaidi na akawa baba wa wana wengi wa kiume na wa kike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Daudi akazidi kuoa wake huko Yerusalemu; akazidi Daudi kuzaa wana na binti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko Yerusalemu, Daudi alioa wake wengi zaidi, naye akazaa wana na mabinti wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Yerusalemu Daudi akaoa wake wengine zaidi na akawa baba wa wana na binti wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Yerusalemu Daudi akaoa wake wengine zaidi na akawa baba wa wana na mabinti wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Daudi akazidi kuoa wake huko Yerusalemu; akazidi kuzaa wana na binti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko Yerusalemu, Daudi alioa wake wengi zaidi, naye akazaa wana na mabinti wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akachukua wanawake wengine mle Yerusalemu, Dawidi akazaa tena wana wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Daudi akazidi kuoa wake huko Yerusalemu; akazidi Daudi kuzaa wana na binti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule Yerusalema, Daudi akaoa wake wengi zaidi, naye alizaa wana na wabinti wengine.