1 Chronicles 15:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake mia moja na kumi na wawili (112).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Uzieli; Aminadabu mkuu wao, na nduguze mia na kumi na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Uzieli; Aminadabu mkuu wao, na nduguze mia moja kumi na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kutoka katika ukoo wa Uzieli, wakaja Aminadabu pamoja na ndugu zake 112 chini ya usimamizi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao wana wa Uzieli: mkuu Aminadabu na ndugu zake, watu 112.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Uzieli; Aminadabu mkuu wao, na nduguze mia na kumi na wawili.