1 Chronicles 15:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akawaita makuhani wawili: Sadoki na Abiathari, na Walawi sita: Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akawaita makuhani wawili: Sadoki na Abiathari, na Walawi sita: Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaia, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akawaita makuhani wawili: Sadoki na Abiathari, na Walawi sita: Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akawaita watambikaji Sadoki na Abiatari na Walawi Urieli, Asaya na Yoeli, Semaya na Elieli na Aminadabu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, Daudi akawaita Sadoki na Abiathari makuhani, na hao Walawi, Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli, na Aminadabu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akawaita makuhani wawili, Zadoki na Abiatari, na Walawi sita, Urieli, Asaya, Yoeli, Semaya, Elieli na Aminadabu;