1 Chronicles 15:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo wakachagua watu wafuatao katika koo za waimbaji: Hemani mwana wa Yoeli, Asafu nduguye aliyekuwa mwana wa Berekia na wana wa Merari, ndugu zao, na Ethani mwana wa Kushaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Walawi wakawateua Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Walawi wakamwagiza Hemani mwana wa Yoeli; na wa nduguze, Asafu mwana wa Berekia; na wa wana wa Merari ndugu zao, Ethani mwana wa Kishi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo wakachagua watu wafuatao katika koo za waimbaji: Hemani mwana wa Yoeli, Asafu nduguye aliyekuwa mwana wa Berekia na wana wa Merari, ndugu zao, na Ethani mwana wa Kushaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli, kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Walawi wakamwagiza Hemani mwana wa Yoeli; na wa nduguze, Asafu mwana wa Berekia; na wa wana wa Merari ndugu zao, Ethani mwana wa Kishi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo wakachagua watu wafuatao katika koo za waimbaji: Hemani mwana wa Yoeli, Asafu nduguye aliyekuwa mwana wa Berekia na wana wa Merari, ndugu zao, na Ethani mwana wa Kushaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Walawi walipowapanga: Hemani, mwana wa Yoeli, na kwa ndugu zake: Asafu, mwana wa Berekia, na kwa wana wa Merari walio ndugu zao: Etani, mwana wa Kusaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Walawi wakamwagiza Hemani mwana wa Yoeli; na wa nduguze, Asafu mwana wa Berekia; na wa wana wa Merari ndugu zao, Ethani mwana wa Kishi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo wakachagua watu hawa katika ukoo za waimbaji: Hemani mwana wa Yoeli, ndugu yake Asafu aliyekuwa mwana wa Berekia na wana wa Merari, ndugu zao, na Etani mwana wa Kusaya.