1 Chronicles 15:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hemani, Asafu na Etani wakachaguliwa kupiga matoazi ya Shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waimbaji Hemani, Asafu na Ethani walichaguliwa kupiga matoazi ya shaba;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo hao waimbaji, Hemani, Asafu, na Ethani, wakaagizwa kupiga matoazi yao ya shaba kwa sauti kuu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hemani, Asafu na Etani wakachaguliwa kupiga matoazi ya Shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waimbaji Hemani, Asafu na Ethani walichaguliwa kupiga matoazi ya shaba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waimbaji Hemani, Asafu na Ethani walichaguliwa kupiga matoazi ya shaba;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo hao waimbaji, Hemani, Asafu, na Ethani, wakaagizwa kupiga matoazi yao ya shaba kwa sauti kuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hemani, Asafu na Etani wakachaguliwa kupiga matoazi ya Shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao waimbaji Hemani, Asafu na Etani walioshika matoazi ya shaba, wayavumishe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo hao waimbaji, Hemani, Asafu, na Ethani, wakaagizwa kupiga matoazi yao ya shaba kwa sauti kuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hemani, Asafu na Etani wakachaguliwa kupiga matoazi ya shaba.