1 Chronicles 15:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya, walikuwa wapiga vinubi vya sauti ya Alamothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya walikuwa wapiga zeze kufuatana na sauti ya alamothi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Zekaria, na Yaasieli na Shemiramothi, na Yehieli, na Uni, na Eliabu, na Maaseya, na Benaya, wenye vinanda vya sauti ya Alamothi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya, walikuwa wapiga vinubi vya sauti ya Alamothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliyabu, Maaseya na Benaya walikuwa wapiga zeze kufuatana na sauti ya Alamothi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya walikuwa wapiga zeze kufuatana na sauti ya alamothi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Zekaria, na Yaasieli na Shemiramothi, na Yehieli, na Uni, na Eliabu, na Maaseya, na Benaya, wenye vinanda vya sauti ya Alamothi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zekaria, Azieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Maaseya na Benaya, walikuwa wapiga vinubi vya sauti ya Alamothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Zakaria na Azieli na Semiramoti na Yehieli na Uni na Eliabu na Masea na Benaya walioshika mapango, waimbe sauti za juu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Zekaria, na Yaasieli na Shemiramothi, na Yehieli, na Uni, na Eliabu, na Maaseya, na Benaya, wenye vinanda vya sauti ya Alamothi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zekaria, Azieli, Semiramoti, Yehieli, Uni, Eliabu, Maseya na Benaya, walikuwa wapiga vinubi vya sauti ya juu.