1 Chronicles 15:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-edomu, Yeieli na Azazia waliongoza wakiwa na vinubi vya sauti ya Sheminithi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-Edomu, Yehieli na Azazia walikuwa wapiga vinubi, wakiongozwa kwa kufuata sauti ya sheminithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Matithiya, na Elifelehu, na Mikneya, na Obed-edomu, na Yeieli, na Azazia, wenye vinubi vya sauti ya Sheminithi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-edomu, Yeieli na Azazia waliongoza wakiwa na vinubi vya sauti ya Sheminithi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-Edomu, Yeieli na Azazia walikuwa wapiga vinubi, wakiongozwa kwa kufuata sauti ya Sheminithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-Edomu, Yehieli na Azazia walikuwa wapiga vinubi, wakiongozwa kwa kufuata sauti ya sheminithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Metithia, na Elifelehu, na Mikneya, na Obed-edomu, na Yeieli, na Azazia, wenye vinubi vya sauti ya Sheminithi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Matithia, Elifelehu, Mikneya, Obed-edomu, Yeieli na Azazia waliongoza wakiwa na vinubi vya sauti ya Sheminithi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Matitia na Elifelehu na Mikinea na Obedi-Edomu na Yieli na Azazia walioshika mazeze, waimbe sauti za chini na kuwaongoza wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Matithiya, na Elifelehu, na Mikneya, na Obed-edomu, na Yeieli, na Azazia, wenye vinubi vya sauti ya Sheminithi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matitia, Elifelehu, Mikineya, Obedi-Edomu, Yeieli na Azazia waliongoza wakiwa na vinubi vya sauti ya chini.