1 Chronicles 15:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Kenania kwa sababu ya ujuzi wa muziki aliokuwa nao, aliwekwa kuwa kiongozi wa wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kenania kiongozi wa Walawi alikuwa msimamizi wa uimbaji; huu ndio uliokuwa wajibu wake kwa sababu alikuwa stadi katika hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
waongoze. Na Kenania, mkuu wa Walawi, alikuwa juu ya uchukuzi; yeye aliusimamia uchukuzi, kwa sababu alikuwa mstadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Kenania kwa sababu ya ujuzi wa muziki aliokuwa nao, aliwekwa kuwa kiongozi wa wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kenania kiongozi wa Walawi alikuwa msimamizi wa uimbaji, huu ndio uliokuwa wajibu wake kwa sababu alikuwa stadi katika hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kenania kiongozi wa Walawi alikuwa msimamizi wa uimbaji; huu ndio uliokuwa wajibu wake kwa sababu alikuwa stadi katika hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
waongoze. Na Kenania, mkuu wa Walawi katika uimbaji, asimamie uimbaji, kwa sababu alikuwa stadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Kenania kwa sababu ya ujuzi wa muziki aliokuwa nao, aliwekwa kuwa kiongozi wa wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kenania, mkuu wa Walawi, aliyewaimbisha akawasimamia, walipoimba, kwani aliijua kazi hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
waongoze. Na Kenania, mkuu wa Walawi, alikuwa juu ya uchukuzi; yeye aliusimamia uchukuzi, kwa sababu alikuwa mstadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Kenania kwa sababu ya ujuzi wa muziki aliokuwa nao, aliwekwa kuwa kiongozi wa wote.