1 Chronicles 15:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Berekia na Elkana walikuwa walinzi wa sanduku la agano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Berekia pamoja na Elkana wakayangoja malango penye Sanduku la Agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Berekia na Elekana walikuwa walinzi wa Sanduku la Agano.