1 Chronicles 15:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi, wazee wa Waisraeli na makamanda wa maelfu, wakaenda kulichukua sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka nyumbani kwa Obed-edomu kwa shangwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Daudi pamoja na wazee wa Israeli na majemadari wa vikosi vya elfu wakaenda ili kulipandisha Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu kutoka nyumba ya Obed-Edomu kwa shangwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi, na wazee wa Israeli, na maakida wa maelfu, wakaenda, ili kulipandisha sanduku la agano la Bwana kutoka nyumbani mwa Obed-edomu kwa furaha kuu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi, wazee wa Waisraeli na makamanda wa maelfu, wakaenda kulichukua sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka nyumbani kwa Obed-edomu kwa shangwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Daudi pamoja na wazee wa Israeli na majemadari wa vikosi vya elfu wakaenda ili kulipandisha Sanduku la Agano la BWANA kutoka katika nyumba ya Obed-Edomu kwa shangwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Daudi pamoja na wazee wa Israeli na majemadari wa vikosi vya elfu wakaenda ili kulipandisha Sanduku la Agano la bwana kutoka nyumba ya Obed-Edomu kwa shangwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi, na wazee wa Israeli, na makamanda wa maelfu, wakaenda, ili kulipandisha sanduku la Agano la BWANA kutoka nyumbani mwa Obed-edomu kwa furaha kuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi, wazee wa Waisraeli na makamanda wa maelfu, wakaenda kulichukua sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu kutoka nyumbani kwa Obed-edomu kwa shangwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Dawidi na wazee wa Waisiraeli na wakuu wa maelfu walivyokwenda kulipandisha Sanduku la Agano la Bwana wakilitoa nyumbani mwa Obedi-Edomu kwa furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi, na wazee wa Israeli, na maakida wa maelfu, wakaenda, ili kulipandisha sanduku la agano la BWANA kutoka nyumbani mwa Obed-edomu kwa furaha kuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi, wazee wa Waisraeli na majemadari wa maelfu, wakaenda kutwaa Sanduku la Agano la Yawe kutoka katika nyumba ya Obedi-Edomu kwa shangwe.