1 Chronicles 15:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamtolea tambiko Mungu: Mafahali saba na kondoo madume saba kwa sababu aliwasaidia wale Walawi waliolibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu Mungu alikuwa amewasaidia Walawi waliokuwa wanalichukua Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu, mafahali saba na kondoo dume saba walitolewa dhabihu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata ikawa, Mungu alipowajalia Walawi waliolichukua sanduku la agano la Bwana, wakachinja ng'ombe saba, na kondoo waume saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamtolea tambiko Mungu: mafahali saba na kondoo madume saba kwa sababu aliwasaidia wale Walawi waliolibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu Mungu alikuwa amewasaidia Walawi waliokuwa wanalichukua Sanduku la Agano la BWANA mafahali saba na kondoo waume saba walitolewa dhabihu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu Mungu alikuwa amewasaidia Walawi waliokuwa wanalichukua Sanduku la Agano la bwana, mafahali saba na kondoo dume saba walitolewa dhabihu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata ikawa, Mungu alipowajalia Walawi waliolichukua sanduku la Agano la BWANA, wakachinja ng'ombe saba, na kondoo dume saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamtolea tambiko Mungu: Mafahali saba na kondoo madume saba kwa sababu aliwasaidia wale Walawi waliolibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu Mungu aliwasaidia Walawi waliolichukua Sanduku la Agano la Bwana, wakamtolea ng'ombe saba kuwa za tambiko pamoja na madume saba ya kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata ikawa, Mungu alipowajalia Walawi waliolichukua sanduku la agano la BWANA, wakachinja ng’ombe saba, na kondoo waume saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamutolea Mungu sadaka: ngombe dume saba na kondoo dume saba kwa sababu aliwasaidia wale Walawi waliolibeba Sanduku la Agano la Yawe.