1 Chronicles 15:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawakusanya Waisraeli wote waje Yerusalemu, ili kulileta sanduku la Mwenyezi-Mungu mahali alipolitayarishia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu ili kulipandisha Sanduku la Mwenyezi Mungu na kulileta hadi kwenye sehemu aliyokuwa ametengeneza kwa ajili yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu, ili kulipandisha sanduku la Bwana, mpaka mahali pake alipoliwekea tayari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawakusanya Waisraeli wote waje Yerusalemu, ili kulileta sanduku la Mwenyezi-Mungu mahali alipolitayarishia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu ili kulipandisha Sanduku la BWANA na kulileta hadi kwenye sehemu aliyokuwa ametengeneza kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu ili kulipandisha Sanduku la bwana na kulileta hadi kwenye sehemu aliyokuwa ametengeneza kwa ajili yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu, ili kulipandisha sanduku la BWANA, mpaka mahali pake alipoliwekea tayari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawakusanya Waisraeli wote waje Yerusalemu, ili kulileta sanduku la Mwenyezi-Mungu mahali alipolitayarishia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawakusanya Waisiraeli wote mle Yerusalemu, walipandishe Sanduku la Bwana na kuliweka mahali pake, alipolitengenezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu, ili kulipandisha sanduku la BWANA, mpaka mahali pake alipoliwekea tayari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akawakusanya Waisraeli wote wakuje Yerusalema, kwa kuleta Sanduku la Agano la Yawe pahali alipolitayarishia.