1 Chronicles 15:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Daudi akawakusanya wazao wa Haruni na Walawi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akawakutanisha wana wa Haruni, na Walawi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Haruni na Walawi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akawakutanisha wana wa Haruni, na Walawi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Daudi akawaita wazawa wa Aroni na Walawi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawakusanya wana wa Haroni na Walawi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akawakutanisha wana wa Haruni, na Walawi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao ndio Walawi, wazao wa Haruni, ambao Daudi aliowaita kufuatana na ukoo zao: Ukoo wa Kohati: Urieli na wandugu zake mia moja na makumi mbili chini ya usimamizi wake; Ukoo wa Merari: Asaya na wandugu zake mia mbili na makumi mbili chini ya usimamizi wake; Ukoo wa Gersoni: Yoeli na wandugu zake mia moja na makumi tatu chini ya usimamizi wake; Ukoo ya Elisafani: Semaya na wandugu zake mia mbili chini ya usimamizi wake; Ukoo wa Hebroni: Elieli na wandugu zake makumi munane chini ya usimamizi wake; Ukoo wa Uzieli: Aminadabu na wandugu zake mia moja kumi na wawili, chini ya usimamizi wake.