1 Chronicles 15:5 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake mia moja na ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia na ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia moja na ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka katika ukoo wa Kohathi, wakaja Urieli, pamoja na ndugu zake120 chini ya usimamizi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao wana wa Kehati: mkuu Urieli na ndugu zake, watu 120;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Kohathi; Urieli mkuu wao, na nduguze mia na ishirini;