1 Chronicles 15:6 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake mia mbili na ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka wazao wa Merari, Asaia kiongozi na ndugu zake 220.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kutoka katika ukoo wa Merari wakaja Asaya pamoja na ndugu zake 220 chini ya usimamizi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao wana wa Merari: mkuu Asaya na ndugu zake, watu 220;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Merari; Asaya mkuu wao, na nduguze mia mbili na ishirini;