1 Chronicles 15:7 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kutoka katika ukoo wa Gershomu, wakaja Yoeli pamoja na ndugu zake 130 chini ya usimamizi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka wazao wa Gershoni, Yoeli kiongozi na ndugu zake mia moja na thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia na thelathini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutoka katika ukoo wa Gershomu, wakaja Yoeli pamoja na ndugu zake 130 chini ya usimamizi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka wazao wa Gershoni Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka wazao wa Gershoni, Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia moja na thelathini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kutoka katika ukoo wa Gershomu, wakaja Yoeli pamoja na ndugu zake 130 chini ya usimamizi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao wana wa Gersomu: mkuu Yoeli na ndugu zake, watu 130;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Gershoni; Yoeli mkuu wao, na nduguze mia na thelathini;