1 Chronicles 15:8 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake mia mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Elsafani; Shemaya mkuu wao, na nduguze mia mbili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Elsafani; Shemaya mkuu wao, na nduguze mia mbili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kutoka katika ukoo ya Elisafani, wakaja Shemaya pamoja na ndugu zake 200 chini ya usimamizi wake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao wana wa Elisafani: mkuu Semaya na ndugu zake, watu 200;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Elsafani; Shemaya mkuu wao, na nduguze mia mbili;