1 Chronicles 16:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu na ifurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu kwa jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao BWANA na ifurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lishangilieni jina lake takatifu; mioyo ya wale wamtafutao bwana na ifurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lishangilieni Jina lake lililo takatifu! Mioyo yao wamtafutao Bwana na ifurahi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujisifu kwa ajili ya jina lake takatifu; wanaomutafuta Yawe wafurahi.