1 Chronicles 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, maajabu yake na hukumu alizotoa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, maajabu yake na hukumu alizotoa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakumbukeni matendo yake yote ya ajabu aliyoyafanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbukeni matendo ya ajabu aliyotenda, maajabu yake na hukumu alizotoa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakumbukeni mataajabu yake, aliyoyafanya. nayo maamuzi yake yashangazayo yakisemwa na kinywa chake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya; Miujiza yake na hukumu za kinywa chake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukumbuke matendo ya ajabu aliyotenda, maajabu yake na hukumu alizotoa,