1 Chronicles 16:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
enyi wazawa wa Abrahamu, mtumishi wake, enyi wazawa wa Yakobo, wateule wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wazao wa Israeli, mtumishi wake, Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
enyi wazawa wa Abrahamu, mtumishi wake, enyi wazawa wa Yakobo, wateule wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee wazao wa Israeli mtumishi wake, Ee wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wazao wa Israeli, mtumishi wake, Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
enyi wazawa wa Abrahamu, mtumishi wake, enyi wazawa wa Yakobo, wateule wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mlio uzao wake Isiraeli aliyemtumikia, nanyi wana wa Yakobo, yeye aliyemchagua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wazao wa Israeli, mtumishi wake, Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
enyi wazao wa Abrahamu, mutumishi wake, enyi wazao wa Yakobo, wachaguliwa wake.