1 Chronicles 16:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alilomthibitishia Yakobo kuwa amri, Na Israeli liwe agano la milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli kuwa Agano la milele:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, kwa Israeli liwe agano la milele:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyomthibitishia Yakobo kuwa amri, Na kwa Israeli kuwa agano la milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimthibitishia Yakobo ahadi yake, akamhakikishia agano hilo la milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbele yake Yakobo naye akalisimamisha kuwa maongozi, Agano la kale na kale liwe kwake Isiraeli
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alilomthibitishia Yakobo kuwa amri, Na Israeli liwe agano la milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimusimamishia Yakobo ahadi yake, akamuhakikishia agano hilo la milele.