1 Chronicles 16:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipomaliza kutoa tambiko hizo za kuteketezwa na za amani, aliwabariki watu katika jina la Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Daudi kumaliza kutoa hizo sadaka za kuteketezwa na hizo sadaka za amani, akawabariki watu katika jina la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Daudi alipokwisha kuitoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani, akawabariki watu kwa jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipomaliza kutoa tambiko hizo za kuteketezwa na za amani, aliwabariki watu katika jina la Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Daudi kutoa hizo sadaka za kuteketezwa na hizo sadaka za amani, akawabariki watu katika jina la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Daudi kumaliza kutoa hizo sadaka za kuteketezwa na hizo sadaka za amani, akawabariki watu katika jina la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Daudi alipokwisha kuitoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani, akawabariki watu kwa jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipomaliza kutoa tambiko hizo za kuteketezwa na za amani, aliwabariki watu katika jina la Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipokwisha kuzitoa hizo ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima na za shukrani akawabariki watu katika Jina la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Daudi alipokwisha kuitoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani, akawabariki watu kwa jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipomaliza kutoa sadaka hizo za kuteketezwa na za amani, akawabariki watu katika jina la Yawe,