1 Chronicles 16:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
walitangatanga kutoka taifa moja hadi lingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakatanga-tanga toka taifa hata taifa, Toka ufalme mmoja hata kwa watu wengine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, kutoka ufalme mmoja hadi mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkitangatanga toka taifa hadi taifa, Toka ufalme mmoja hadi kwa watu wengine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mkitangatanga toka taifa hadi taifa, kutoka nchi moja hadi nchi nyingine,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawaendea watu wa huko, taifa kwa taifa, walipotoka kwa mfalme mmoja, wakawajia wenziwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatanga-tanga toka taifa hata taifa, Toka ufalme mmoja hata kwa watu wengine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mukitangatanga toka taifa hata taifa, kutoka inchi moja hata inchi ingine.