1 Chronicles 16:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakumwacha mtu awaonee; Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuruhusu mtu ye yote awaonee, kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakumwacha mtu awaonee; Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hakumruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hakuna mtu, aliyempa ruhusa kuwakorofisha, hata wafalme akawapatiliza kwa ajili yao kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakumwacha mtu awaonee; Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hakumuruhusu mutu yeyote awatese; kwa ajili yao aliwaonya wafalme: