1 Chronicles 16:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Msiwaguse niliowapaka mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akisema, Msiwaguse masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Msiwaguse masiya wangu, msiwadhuru manabii wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Msiwaguse niliowatia mafuta; msiwadhuru manabii wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru manabii wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msiwaguse wateule wangu; msiwadhuru manabii wangu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliowapaka mafuta msiwaguse tu, wala wafumbuaji wangu msiwafanyizie mabaya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musiwaguse wachaguliwa wangu; musiwazuru manabii wangu!”