1 Chronicles 16:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu dunia yote; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA dunia yote; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana dunia yote; tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku baada ya siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwimbieni Bwana, nchi zote! Utangazeni wokovu wake siku kwa siku!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku kwa siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe, ulimwengu wote. Mutangaze kila siku matendo yake ya wokovu.