1 Chronicles 16:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu ni mkuu, anasifika sana anastahili kuheshimiwa kuliko miungu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mkuu, mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana; Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu ni mkuu, anasifika sana anastahili kuheshimiwa kuliko miungu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA ni mkuu, mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote, yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana ni mkuu, mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA ni mkuu mwenye kusifiwa sana; Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu ni mkuu, anasifika sana anastahili kuheshimiwa kuliko miungu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mkuu ni Bwana, apaswa na kutukuzwa sana, naye anaogopesha kuliko miungu yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ni mkuu mwenye kusifiwa sana; Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe ni mukubwa, anasifika sana anastahili kuheshimiwa kuliko miungu yote.