1 Chronicles 16:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Mwenyezi Mungu aliziumba mbingu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana miungu yote ya watu si kitu; Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini BWANA aliziumba mbingu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini bwana aliziumba mbingu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana miungu yote ya watu si kitu; Lakini BWANA ndiye aliyezifanya mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Mwenyezi-Mungu aliziumba mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani miungu yote ya makabila ya watu ni ya bure tu, lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana miungu yote ya watu si kitu; Lakini BWANA ndiye aliyezifanya mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miungu yote ya mataifa mengine si kitu; lakini Yawe ndiye aliyeumba mbingu.