1 Chronicles 16:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu na fahari vyamzunguka, nguvu na furaha vyajaza hekalu lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heshima na adhama ziko mbele zake; Nguvu na furaha zipo mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu na fahari vyamzunguka, nguvu na furaha vyajaza hekalu lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fahari na enzi viko mbele yake, nguvu na utukufu vimo patakatifu pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heshima na adhama ziko mbele zake; Nguvu na furaha zipo mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu na fahari vyamzunguka, nguvu na furaha vyajaza hekalu lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukuu na urembo uko mbele yake, uwezo na uchangamko upo hapo, alipo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heshima na adhama ziko mbele zake; Nguvu na furaha zipo mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu na sifa vinamuzunguka, nguvu na furaha vinajaza pahali pake.