1 Chronicles 16:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpeni Mwenyezi Mungu, enyi jamaa za mataifa, mpeni Mwenyezi Mungu utukufu na nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpeni Bwana, enyi jamaa za watu, Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpeni BWANA, enyi jamaa za mataifa, mpeni BWANA utukufu na nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpeni bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni bwana utukufu na nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpeni Mwenyezi-Mungu, heshima enyi jamii zote za watu, naam, kirini utukufu na nguvu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mlio wa ukoo wa watu, mpeni Bwana yaliyo yake! Kwa kuwa ni mtukufu na mnguvu, mpeni Bwana yaliyo yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA, enyi jamaa za watu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumupe Yawe heshima, enyi jamii zote za watu, mutangaze utukufu na nguvu yake.