1 Chronicles 16:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima ya utukufu wa jina lake; leteni tambiko na kuingia nyumbani mwake. Mwabuduni Mwenyezi-Mungu patakatifuni pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mpeni Mwenyezi Mungu utukufu unaostahili jina lake. Leteni sadaka na mje katika nyua zake. Mwabuduni Mwenyezi Mungu katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, mje mbele zake; Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima ya utukufu wa jina lake; leteni tambiko na kuingia nyumbani mwake. Mwabuduni Mwenyezi-Mungu patakatifuni pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake. Leteni sadaka na mje katika nyua zake; mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mpeni bwana utukufu unaostahili jina lake. Leteni sadaka na mje katika nyua zake; mwabuduni bwana katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, na mje mbele zake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima ya utukufu wa jina lake; leteni tambiko na kuingia nyumbani mwake. Mwabuduni Mwenyezi-Mungu patakatifuni pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa Jina lake ni tukufu, mpeni Bwana yaliyo yake! Chukueni vipaji vya tambiko, mje kumtokea! Mtambikieni Bwana na kuvaa mapambo yapasayo Patakatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Leteni sadaka, mje mbele zake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumupe Yawe heshima ya utukufu wa jina lake; mulete sadaka na kuingia katika nyumba yake. Mumwabudu Yawe katika Pahali Patakatifu pake.