1 Chronicles 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na akawagawia Waisraeli wote, wanaume kwa wanawake, kila mmoja akapewa mkate, kipande cha nyama na mkate wa zabibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akamgawia kila Mwisraeli mwanaume na mwanamke mkate, andazi la tende na andazi la zabibu kavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akawagawia kila mtu wa Israeli, waume kwa wake, kila mtu mkate wa ngano, na kipande cha nyama, na mkate wa zabibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na akawagawia Waisraeli wote, wanaume kwa wanawake, kila mmoja akapewa mkate, kipande cha nyama na mkate wa zabibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akamgawia kila Mwisraeli mwanaume na mwanamke mkate, maandazi ya tende na maandazi ya zabibu kavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akamgawia kila Mwisraeli mwanaume na mwanamke mkate, andazi la tende na andazi la zabibu kavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akawagawia kila mtu wa Israeli, wanaume kwa wanawake, kila mtu mkate wa ngano, na kipande cha nyama, na mkate wa zabibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na akawagawia Waisraeli wote, wanaume kwa wanawake, kila mmoja akapewa mkate, kipande cha nyama na mkate wa zabibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akawagawia watu wote wa Isiraeli, waume kwa wake, kila mtu mkate wa sikukuu na kipande cha nyama na andazi la zabibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akawagawia kila mtu wa Israeli, waume kwa wake, kila mtu mkate wa ngano, na kipande cha nyama, na mkate wa zabibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na akawagawanyia Waisraeli wote, wanaume na wanawake, kila mumoja akapewa mukate, kipande cha nyama na mukate wa zabibu.